Click here to find every Practice Ministries Bible lesson listed by subject and curriculum!
Lessons Library

Ten Commandments 1

We start off with how God’s call to Abram leads to the nation of Israel receiving the Ten Commandments. Then we’ll have some fun with: “It’s cool in the furnace,” “Statue of limitations,” “My God’s bigger than your god,” and more

Amri kumi 1 somo # 1:tuna amini kwa mungu

Hi ni somo ya kwanza kati yasomo tatu ambayo husaidia watoto kuelewa kwa nini Mungu alimupeya Musa zile Amri Kumi, na uzijuwee zile Amri Kumi. Inaweka mkazo kwa ahadi ya Mungu kwa Abramu (Ibrahimu), kwa kumpitiya yeye kumewekwa taifa kubwa.

Kuchunguza Biblia : kunawasaidia kuelewa ahadi ya Mungu piya na kupata uzima wa milele kupitia Yesu kristo.

somo # 2 musa na miujiza
Hi ni somo ya pili kati ya masomo tatu ambayo husaidia watoto kuelewa kwa nini

Mungu alimupeya Musa zile Amri Kumi, na ujue zile Amri Kumi. Somo la leo Inaweka mkazo kwa wito wa Musa kwa Mungu kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri.

Kuchunguza Biblia kunawasaidia kuelewa imani na uhakika wa ahadi ya Mungu kupitia Yesu Kristo.

somo # 3: safari kubwa
Hi ni somo ya tatu kati ya masomo tatu ambayo husaidia watoto kuelewa kwa nini

Mungu alimupeya Musa zile Amri Kumi, na ujue zile Amri Kumi. Hadithi ya Biblia Inakaziya kwa hadithi ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri na kupokeya Amri Kumi.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kufanya mazoezi ya kumpenda Mungu na wengine.

somo # 4: kuomba au kutokuomba
Amri ya kwanza inasema, ” Usiwe na miungu mingine ila mimi” (Kutoka 20: 3).

Hadithi ya bibilia inamhusu Danieli na tundu la simba, na inakaziya umuhimu wa utiifu kwa Mungu.

. Kuchunguza Biblia husaidia watoto kujizoesha kuwa watiifu

Somo # 5: heshimu mama yako na baba yako
Amri ya tano inasema “Waheshimu baba yako na mama yako” (Kutoka 20:12). Hadithi ya Biblia ya leo inamhusu mwana aliyemheshimu Baba yake: Yesu katika Bustani ya Gethsemane. Somo hili linakaziya umuhimu wa watoto kutii wazazi wao, lakini pia kwamba baba hufundisha watoto wake Neno la Mungu.

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kufikiria juu ya sababu za kuheshimu Wazazi wao

Somo # 6: jirani mwema
Amri ya tatu inasema, “Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure. ‖(Kutoka 20: 7).

Somo la leo ni Mfano wa Msamaria, na inafundisha watoto umuhimu wa kuwa balozi wa Mungu.

Kuchunguza Biblia inawahimiza kwa kuwa wema.

Uduma ya mazowezi ya masomo ya kibilia

Amri kumi 1

Somo # 7: simameni ! (sehemu 1)
Amri ya nne inasema “Kumbuka siku ya kupumzika,na uitakase” (Kutoka 20: 8).

Kwakuonesha upendo wao kwa Mungu, Waisraeli waliamriwa kufuata sheria zaMungu kuhusu kazi na kupumzika. Tunaweza kuonyesha upendo wetu kwa Mungu na hali yetu kupitiya kazi na kupumzika. Somo hili linahusu jinsi mtazamo wetu unapaswa kuwa kuelekea kazini na kupumzika.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kuwa na mtazamo mzuri wakati wa kufanya kazi.

Somo # 8:simameni (sehemu ya 2)
Amri ya nne inasema, “Kumbuka siku ya kupumzika,na uitakase” (Kutoka 20: 8).

Kwakuonesha upendo wao kwa Mungu, Waisraeli waliamriwa kufuata Sheria za Mungu kuhusu kazi na kupumzika. Tunaweza kuonyesha upendo wetu kwa Mungu na mtazamo wetu kuelekea kazi na kupumzika. Somo la leo linalenga kupumzika.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto ku gawanya na wengine.

Somo # 9: zaidi! zaidi! zaidi!
Amri ya kumi inasema, “Usitamani mali ya jirani yako” (Kutoka 20:17). Hii ndio

sehemu ya kwanza ya masomo 3 juu ya kutamani (kutamani kwa niya mbaya). Tutazungumza juu ya njia ambazo tunaweza kupata mali zetu kwa hali nzuri

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kujizoeza kugawanya na wengine. Somo # 10: tafuteni kwanza

Amri ya kumi inasema, “Usitamani mali ya jirani yako” (Kutoka 20:17). Hii ni sehemu ya pili ya masomo 3 juu ya kutamani (kutamani kwa niya mbaya). Tutazungumza juu ya njia ambazo tunaweza kujizuia kuendelea kutamani vitu ambavyo tumekatazwa.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kufanya maamuzi mazuri.

Somo # 11: mahali pengine ni bora daima
Amri ya kumi inasema, “Usitamani mali ya jirani yako (Kutoka 20:17). Hii ni sehemu

ya tatu ya masomo 3 juu ya kutamani (kutamani kwa njia mbaya). Tutazungumza juu ya kuwa na moyo wa kutosheka na kile tunacho.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kuwa na moyo wa shukrani kwavile wanavyo.

Somo # 12: uwe makini ,yawezakuvunjika!
Amri ya nane inasema, “Usiibe” (Kutoka 20:15). Kuna njia tatu ambayo tunaweza

kuiba: kutoka kwa wengine, kwa Mungu, na kutoka kwako mwenyewe. Katika sehemu hii ya kwanza katika masomo 4, tutazungumzia kwa nini Mungu anasema, “Heshimu mali ya wengine. ”

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kujuwa kuchunga vya wengine na kuheshimu wakati wa watu wengine.

Uduma ya mazowezi ya masomo ya kibilia

Amri kumi 1

Somo # 13: umefanya vema!
Amri ya nane inasema, “Usiibe” (Kutoka 20:15). Kuna njia tatu ambayo tunaweza

kuiba: kutoka kwa wengine, kwa Mungu, na kutoka kwako mwenyewe. Katika sehemu hii ya pili katika masomo 4, tutazungumza juu ya kuwajibika kwa kile Mungu hutupa.

Kuchunguza Biblia Huwahimiza Watoto Kuwajibika Na Kufanya Vema Pamoja Na Kile Mungu huwakabidhi.

Somo # 14: kumbuka bwana mungu wako
Amri ya nane inasema, “Usiibe” (Kutoka 20:15). Kuna njia tatuambayo tunaweza

kuiba: kutoka kwa wengine, kwa Mungu, na kutoka kwako mwenyewe. Katika sehemu hii ya tatu katika masomo 4 tutazungumza juu ya jinsi tunaweza kumpa Mungu heshima na utukufu ambao tayari ni Wake.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kuwajibika na kukumbuka kutambua hilo ni Mungu ambaye huwapa uwezo na kipaji.

Somo # 15: anakubariki kwa kuwapa wengine
Amri ya nane inasema, “Usiibe” (Kutoka 20:15). Kuna njia tatu ambayo tunaweza kuiba: kutoka kwa wengine, kwa Mungu, na kutoka kwako mwenyewe. Katika sehemu hii ya mwisho, inahusu kutoa wakati wetu, ujuzi wetu, na pesa zetu.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kutoa kwa ukarimu wakati wao, kipaji, na pesa zao.

Somo # 16: mungu wangu ni mkuu kuliko mungu wako
Amri ya kwanza inasema, “Usiwe na miungu mingine ila mimi” (Kutoka20: 3). Watu wa Israeli walikuwa wameanza kuabudu “mungu” mwingine. Nabii Elie alikuja kwao akasema, ” Je! mtashirikiana kwa muda gani pande zote mbili?” Ikiwa Bwana ni Mungu, mfuate; ikiwa ni Baali, mfuateni yeye! (1 Wafalme 18:21) . Halafu, Elie anawatia changamoto kwa mashindano ya kudhibitisha kuwa Mungu wa Israeli ndiye Mungu wa pekee. Leo tutaona kuwa ni muhimu sana kupitisha muda na Mungu.

Kuchunguza Biblia Huwahimiza Watoto Kumwona Mungu Kama Mtu Muhimu Zaidi Kwa maisha, na kukumbuka amri zake.

somo # 17: mipaka
―Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. ( Yoshua 24:15) . Yoshua aliwaonya

watu Waisraeli wasisahau Mungu, ambaye aliwaokoa kutoka utumwani Misri, na Waisraeli waliabudu miungu ya nchi jirani. Katika somo hili tutazungumzia juu ya Amri ya pilii: “Usifanye sanamu ya kuchonga” (Kutoka 20: 4) . Pia tutaona kwanini ni muhimu kumuabudu Muumba, kuliko uumbaji.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kumtegemea Mungu tu.

Uduma ya mazowezi ya masomo ya kibilia

Amri kumi 1

Somo # 18 hata ndani ya tanuru ni bora
Amri ya pili inasema, “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, Hata vitu vyovyote vilivyo juu mbinguni ‖(Kutoka 20: 4-5). Somo la leo inazungumza juu ya vijana watatu, Shadraka, Meshaki na Abednego, ambao walikataa kuabudu miungu tofauti na Bwana – kwa hatari ya kupoteza maisha yao! Tutazungumza juu ya umuhimu wa kuwa mwaminifu kwa Mungu.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kumwabudu Mungu tu.

Somo # 19: piya kwa samani ya dhahabu
Amri ya tano inasema, ―Waheshimu mama yako na baba yako…‖ (Kutoka 20:12). Hatua ya kwanza ya kuwa na hekima ni kumheshimu Mungu. Somo hili linaonyesha kwa nini ni hivyo muhimu kwa wazazi kupitishaa wakati na watoto wao.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kumheshimu Mungu na wazazi wao.

Somo # 20: karibu nyumbani! (sehemu 1)
Amri ya tano inasema, ―Waheshimu mama yako na baba yako…‖ (Kutoka 20:12). Hii somo linahusu hadithi ya mwana mpotevu, na inatufundisha samani na uwajibu wa kuwaheshimu wazazi wetu.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kuwajibika.

Somo # 21: karibu nyumbani! (sehemu ya 2)
Amri ya tano inasema, ―Waheshimu mama yako na baba yako…‖ (Kutoka 20:12). Somo la leo inaendelea na hadithi ya mwana mpotevu. Tutaona baba anaonyesha mfano kwa mtoto wake kumfundisha masomo muhimu juu ya majukumu.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kuwa waaminifu katika majukumu yao.

Somo # 22: vijiti na mawe
Amri ya sita inasema, “Usiue. (Kutoka 20:13). Katika somo hili sisi tutazungumza juu

ya jinsi mawazo na hali yetu yakukuwa uchokowa matendo yetu, na sisi tutaona kwamba maneno yetu yanaweza kuumiza wengine, au kuwatia moyo.

Kuchunguza Biblia inahimiza watoto kufanya mazoezi kwa bidi.

Somo # 23: ni vizuri kusikiya kutoka kwako
Amri ya sita inasema, “Usiue. (Kutoka 20:13). Katika somo hili sisi tutataona njia za kuwatia moyo wengine kwa maneno yetu, sala zetu, na matendo yetu.

Kuchunguza Biblia funza watoto kujizoeza kuwatia moyo wengine.

Somo # 24: umuhimu wa jina ni nini?
Amri ya tatu inasema, “Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako . ‖ (Kutoka 20: 7). Somo hili linalenga kumwakilisha Yesu kama balozi wake.

Uduma ya mazowezi ya masomo ya kibilia

Amri kumi 1

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kufanya mazoezi ya kuwa balozi wa Yesu.

Somo # 25: uaminifu ni njia nzuri ya umtu
Amri ya tisa inasema, ―Usiseme uongo. ‖(Kutoka 20:16). Katika somo hili, tutaona ni kwanini Mungu anapenda ukweli na kwa nini siku zote ni bora kuwa mkweli.

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kujizoeza kuishi bila kusema uwongo.

Somo # 26: njia kumi za kuwa mtu bila lawama Leo ni mpangiliyo wa Amri Kumi, na tutaona kwa nini Mungu

akawapa.
Kuchunguza Biblia husaidia watoto kuishi na kuweka kwa matendo Amri Kumi.

Somo La Kusema “Asante!” ”
―Msifuni Bwana, liitieni jina lake! Tangazeni matendo yake kati ya watu! Imba, imba kwa heshima yake! Ongea juu ya maajabu yake yote! (Zaburi 105: 1-2). Leo tutakuwa tunahesabu baraka zetu – na kisha tutagawa kwa wengine!

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kufikiria njia mpya za kutoa!

Somo Maalum la Krismasi
Na tazama, utapata mimba, nawe utazaa mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake

Yesu. “(Luka 1:31). Katika somo hili tutazungumza juu ya hadithi ya Krismasi, lakini mwisho wa hadithi hii ni tofauti kidogo na zile ambazo tumezoea kusikia.

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kukumbuka maana halisi ya Krismasi.

Somo Maalum la Pasaka
“Kwa maana njisi hi Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee,

ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. (Yohana 3:16). Somo hili linaelezea kile kilichotokea ilitokea kwa Yesu – mwana wa pekee wa Mungu – katika siku zilizotanguliya kwa kukamatwa kwake na kusulubiwa kwa toa wokovu kwako na kwangu.

Kuchunguza Biblia husaidia watoto kuelewa umuhimu wa dhabihu ya Yesu.

Other Materials to Download

Start A Group

If you are considering beginning your own Dad and kids Bible study or you are ready to go, we can help.

Start a Group

Follow Us

"For I have chosen him, that he will direct his children and his household after him to keep the way of the Lord by doing what is right and just."

(Genesis 18:19)

Practice Ministries

6125 Luther Ln

Suite 183

Dallas, Texas 75225

© 2020 Practice Ministries. All rights Reserved.